Monday, August 26, 2013

naitwa clara nina mcumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani
MREMBO CLARA AKIWA KATIKA POZI MWANANA

Naitwa clara nina mcumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani

2 comments:

Unknown said...

acha umalaya

Unknown said...

Toa ujinga wako, hata huyo mzee ana heshima zake. Usipokuwa makini utakufa kwa ngoma kama sio UKIMWI kwa kupenda vya bure. Maliza masomo yako na jitihada uweke ili baadaye uje kustarehee kwa pesa yako mwenyewe.. ACHA KABISA UPUMBAVU WA KUPENDA PESA UTAFIKIRI WEWE NDIYE ULIYE ZITENGENEZA.. KWANZA SOMMA NA UMRI WAKO HAUKURUHU KUWA NA WAPENZI WA 2 KWA WAKATI MMOJA. HATA HUYO UNAYE MUITA HANDSOME WAKO NAFIKIRI ANAKUPENDA KWASABABU YA PESA UNAZO MCHUNA HUYO MZEE.... NJOO KWANGU NIKUPE MSAADA WA PESA YA MASOMO ACHA UMALAYA... lAKINI NAHISI UTAKUWA SIO MZIMA WEWE LAZIMA UNAUPUNGUFU WA AKILI AU ULISHA UGUA UKIMWI... NINA WASIWASI HATA HUYO HANDSOME WAKO UTAKUJA MUAMBUKIZA UKIMWI.

Post a Comment