Tuesday, August 27, 2013

Habari hii Ilienea mtandaoni mwishoni mwa mwaka jana...Na Wanaume wa Global walii-diskasi sana...Kama uliikosa, basi wadau wameirusha upya...Asante sana mnyetishaji wetu kwa kuturushia hii kitu....

Watu wanakula bata jamani... 
Ukiwa na vihela au kaumaarufu kidogo tu hapa Bongo... 
Basi utafanya ufuska mpaka wanawake wote wakukome...
Halafu mambo yakibumburuka, wanashikiwa bango...
Vipi kuhusu hawa mabinti wanaojirahisi na kujipeleka wenyewe kwa hawa mastaa uchwara?
Kwa mtindo huu, kazi ipo !!!

Video yenyewe ndiyo hii...
<<BOFYA HAPA>> 
(Unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 18 ili kutazama hii video...)
Timu ya habarizetuleo inakemea vikali vitendo kma hivi jamii......

0 comments:

Post a Comment