Actress maarufu Swahiliwood Aunt Ezekiel amechimbwa na kitu chenye ncha
kali kinachodaiwa kuwa chupa katika mkono wake wa kushoto.
Mkono uliojeruhiwa kabla ya kufungwa

Habari ambazo bado sio rasmi ni kuwa huenda muigizaji huyo alikumbwa na tukio hilo hatari kutokana na issue za kimapenzi yaani kugombea mwanaume siku za nyuma au sasa.
pole sana aunt ezekiel....
0 comments:
Post a Comment