Zaidi
ya sauti yake na uwezo mkubwa wa kuimba nyimbo zinazoshikika kiurahisi,
umaarufu wake mwingine mkubwa toka enzi hizo ni kiuno bila mfupa kwa
jinsi alivyokua akicheza nacho….. ni uwezo uliofanya mpaka maneno ya
kiuno bila mfupa yakapata umaarufu kupitia yeye.
Siku
kadhaa tu baada ya kutangaza kurudi kwenye muziki kama zamani, Ray C
akiwa ametoka kwenye matibabu ya matumizi ya dawa za kulevya… ameanza
kujipanga kupunguza unene alionao ili awe mwepesi zaidi ya alivyo sasa
ili kila kitu kiende kama kilivyokua.
Ray
C akipiga story na fans wake alisema “Mauno ni nyonga si manyama”, hii
ni moja ya sababu za msingi sana zilizomfanya Rehema Chalamila kuingia
gym kuanza mazoeziWednesday, August 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment